Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
BAADHI ya Timu ya Wataalamu (CMT), Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe baada ya kutembelea na banda letu sasa wapo tayari kufanya ziara ya kikazi ufukwe wa Ziwa Nyasa (Matema Beach) mkoani Mbeya. ...
Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
MKUU wa Divisheni/Idara ya Elimu Msingi na Awali, Wanging'ombe, Bw. Zuberi Karugutu (Kushoto Pichani) akiendelea kujiandikisha baada ya kununua Unga bora wa lishe, unaotengenezwa na Kikundi cha Wakina...
Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
MKUU wa Divisheni/Idara ya Mipango, Wanging'ombe, Bw. Heri Kuria (Kulia Pichani) akihoji baadhi ya maswali kuhusu umuhimu wa kutumia bidhaa zitokanazo na Soya, zinazotengenezwa na Kikundi cha Upendo A...