Tarehe iliyowekwa: December 24th, 2023
Baraza la Madiwani (Wanging'ombe), Menejimenti na Watumishi wote wanawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2024.
~ "Mshikamano Daima"...
Tarehe iliyowekwa: December 22nd, 2023
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe tunakupongeza DKT. PETER MAIGA NYANJA kwa kuendelea kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN na kuteuliwa ...
Tarehe iliyowekwa: December 20th, 2023
Chema hudumu katika fikra, maono, muongozo, nidhamu, utii, bidii, heshima na kuthamini.
Katibu Tawala, Mkoa wa Manyara,
Bi. Maryam Ahmed Muhaji.
...