KAIMU Mkuu Divisheni/Idara ya Utumishi na Utawala, Bi. Monica Mbaga (Kushoto Pichani) akiambatana na Afisa Usafirishaji, Bw. Mohamed (Katikati Pichani) wakijifunza zaidi kuhusu bidhaa za Nyuki/Asali kutoka kwa mtaalamu wa Nyuki, Bw. Mwendamseke katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.