MKUU Kitengo cha Afya, Taka Ngumu na Mazingira, Bw. Boniphace Msemwa (Kulia Pichani) akipimwa viwango vya hali ya lishe (BMI Scale Status) na Kaimu Mkuu wa Idara ya Afya/Mganga Mkuu, Dkt. Fransis Hoya (Kulia Pichani) katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.