MKUU wa Divisheni/Idara ya Mipango, Wanging'ombe, Bw. Heri Kuria (Kulia Pichani) akihoji baadhi ya maswali kuhusu umuhimu wa kutumia bidhaa zitokanazo na Soya, zinazotengenezwa na Kikundi cha Upendo A, Igomba, kata ya Saja kwa usimamizi wa CARE International katika mradi wa kuwajengea uwezo wanakikundi.