TAARIFA YA IDARA YA ELIMU MSINGI.
Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe ina jumla ya shule za Elimu ya Awali 107 za serikali na hamna shule binafsi.Pia halmashauri ina jumla ya vituo sita (6) vinavyotoa Elimu nje.
TAARIFA ZA WATUMISHI WOTE WA IDARA YA ELIMU MSINGI.
IfuatayonitakwimuyawatumishiwaIdarayaElimuyaMsingiwaHalmashauriyawilayayaWanging’ombe:
Na.
|
MAAFISA/WALIMU
|
ME |
KE |
JUMLA |
1.
|
AFISAELIMU WILAYA
|
1 |
- |
1 |
2.
|
MAFISAELIMU TAALUMA
|
1 |
1 |
2 |
3.
|
MAFISAELIMU VIFAA NA TAKWIMU
|
2 |
- |
2 |
4.
|
AFISAELIMU YA WATU WAZIMA
|
1 |
- |
1 |
5.
|
AFISAELIMU UFUNDI
|
1 |
- |
1 |
6.
|
AFISAELIMU SAYANSI KIMU
|
- |
1 |
1 |
7.
|
AFISAELIMU VIELELEZO
|
1 |
- |
1 |
8.
|
AFISA MICHEZO NA UTAMADUNI
|
1 |
- |
1 |
9.
|
AFISAELIMU ELIMU MAALUMU
|
1 |
- |
1 |
10.
|
AFISAELIMU KILIMO
|
- |
- |
- |
11.
|
MAAFISA ELIMU KATA
|
6 |
15 |
21 |
12
|
WALIMU
|
364 |
355 |
719 |
JUMLA KUU |
379 |
372 |
751 |
SEKTA NDANI YA IDARA NA SHUGHULI ZAKE.
Zifuatazonisekta/vitengovilivyopondaniyaidarayaElimuyaMsingi na kazizake:
AFISA ELIMU TAALUMA.
Kuratibu,kusimamia,kuendesha na kutathmini mitihani ya darasa la Nne na Saba kwa kushirikiana na Baraza la Mitihani la Tanzania,Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia.
Kubuni mipango ya kuinua taaluma katika ngazi ya Halmashauri.
Kuratibu mafunzo ya walimu kazini.
Kuratibu mashindano ya taaluma yanayoendeshwa katika wilaya.
Kushirikikatikauchaguziwawanafunziwatakaojiunga na kidato cha kwanza.
Kuratibuutoajiwahudumamuhimukwawanafunzikama vile mahudhurio na uhamisho.
AFISAELIMU VIFAA NA TAKWIMU
AFISA UTAMADUNI NA MICHEZO.
Kusimamiamaendeleoyamichezokatikawilaya.
Kufanyausajiliwaawalikwavilabuvyamichezombalimbalikatikawilaya.
Kusimamiavituovyamazoeziyauimarishaji/tibayaviungokwabinadamukatikawilaya.
Kutafsirisherianakanunizamichezombalimbalikwaviongoziwavyama na vilabuvyamichezokatikawilaya.
Kuhakikishakuwauchaguziwaviongoziwavyamavyamichezounafanyikakisheria na kwahaki.
Kuratibumatamashambalimbaliyamichezokatikahalmashauri.
Kufanyausajiliwaawaliwavikundivyasanaakatikawilaya.
Kuratibushughulizautaliiwandani.
Kusimamiashughulizamaendeleoyavijanakatikahalmashauri.
Kuratibushughulizamafunzoyavijanawaskautikatikawilaya.
AFISAELIMU SAYAKIMU.
KuratibushughulizotezaSayakimukatikawilaya.
KuteuanakuanzishavituovipyavyaSayansiKimu na kushaurinamnayakuviendesha.
KusimamiauendeshajiwamiradiyaSayansikimuyauzalishajimalikatikawilayakwakushirikiana na walengwa.
Kuteuawalimuwasayansikimuwanaofaakwakushirikiana na wakuuwavituo.
Kutafutanakusimamiausambazajiwavifaavyotevyasayansikimu na kuvisambazakatikavituohusikakwakushirikiana na AfisaElimuVifaa na Takwimu.
Kuandaataarifayaroboyasayansikimunakuzipelekasehemuzinazohusika.
AFISAELIMU MAALUMU.
KuratibuusajiliwawanafunziwaElimumaalimukatikaHalmashauri.
KupokeanakusambazavifaavyaElimumaalumu.
Kupokea,kuunganisha na kutoatakwimumbalimbalizawanafunziwaElimuMaalumukwendakwawadauwaElimu.
AFISAELIMU VIELELEZO.
KusimamiaupatikanajiwavielelezokatikaidarayaElimuMsingi,Sekondari na ElimuNjeyaMfumoRasmi.
Kuandaa na kutunzakumbukumbuzotemuhimuzaElimuyaWatuWazima,ElimuNjeyaMfumoRasmi na ElimuJumuishi.
Kusimamiataalumayauandishiwavitabuvyakiada,ziada,magazeti na makalambalimbalikwaajiliyaElimuyaWatuWazima naElimuNjeyaMfumoRasmi.
KutathminimipangombalimbaliyaElimuyaWatuWazimanaElimuNjeyaMfumoRasmikatikaHalmashauri.
Kushirikiana na AfisaElimuTaalumawaMsingi,Sekondari na MkutubiwaMkoakatikakusimamiauanzishaji na usimamiziwaMaktabazakata,vijiji na shule.
KushirikiananaAfisaElimuTaalumawaMsingi na Sekondarikuandaavielelezombalimbaliilikuboreshaufundishaji na ujifunzaji.
Kupokea,kuhifadhi na kusambazavifaavyaElimuyaWatuWazima,ElimuNjeyaMfumoRasmi na ElimuJumuishikatikaHalmashauri.
KAZI ZA IDARA YA ELIMU MSINGI KWA UJUMLA.
KuratibunakusimamiautoajiwaElimuMsingikwashulezotezaSerikali na zabinafsi.
Kuratibu na kusimamiauendeshajiwamitihaniyaDarasa la iv na Vii yawilaya,mkoa na taifa.
Kuratibu na kusimamiamafunzoyaElimukazini.
Ukusanyaji,uhifadhi na utoajiwatakwimuzaElimuMsingi
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.