MKUU wa Divisheni/Idara ya Ardhi na Mipango miji, Wanging'ombe, Bw. Naili Mbyopyo (Kulia Pichani) akiendelea kupata elimu kutoka kwa mfugaji wa Ng'ombe (Kushoto Pichani) ya namna bora ya ufugaji wa Ng'ombe wa kisasa (Holstein Friesian) ambao wanatoa maziwa lita 25 kwa siku katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.