Tarehe iliyowekwa: August 30th, 2025
WATUMISHI wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe wakijipongeza baada ya kazi nzito ya utekelezaji wa majukumu yao.
#VivaWanging'ombe,#MshikamanoDaimaPhoto Credits: Nickson Kombe
...
Tarehe iliyowekwa: August 27th, 2025
UREJESHAJI wa fomu umekamilika leo tarehe 27 Agosti 2025 katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, jimbo la Wanging’ombe, wagombea kupitia tiketi za CCM na CHAUMMA wameteuliwa kuingia kwenye kin...
Tarehe iliyowekwa: August 27th, 2025
Na. Nickson Kombe,
KAIMU Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Bw. Onolasco Mwogofi amekabidhi vishikwambi 18 kwa maafisa maendeleo ya jamii kata ikiwa lengo ni kuongeza ufanisi wa kazi na utoaji hu...