Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
KAIMU Mganga wa wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Fransis Hoya (Wa Pili Kushoto) akijifunza kuhusu msumeno katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya....
Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
BAADHI ya Timu ya Wataalamu (CMT), Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe baada ya kutembelea na banda letu sasa wapo tayari kufanya ziara ya kikazi ufukwe wa Ziwa Nyasa (Matema Beach) mkoani Mbeya. ...
Tarehe iliyowekwa: August 7th, 2025
MKUU wa Divisheni/Idara ya Elimu Msingi na Awali, Wanging'ombe, Bw. Zuberi Karugutu (Kushoto Pichani) akiendelea kujiandikisha baada ya kununua Unga bora wa lishe, unaotengenezwa na Kikundi cha Wakina...