Tarehe iliyowekwa: December 8th, 2021
Na
Veronica Keneth
Katika kuadhimisha miaka 60, ya Uhuru wa Tanganyika,Mkoa wa Njombe uliteua Wilaya ya Wanging′ombe kuwa mwenyeji wa Maadhimisho hayo ambapo Mgeni rasmi alikuwa M...
Tarehe iliyowekwa: June 29th, 2021
Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Wangingombe imefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya, katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa amempongeza Rais wa Jamhuri ya...
Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2021
Katika kipindi cha kuanzia Julai 2020 hadi machi 2021 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kupitia vyanzo vya mapato ya ndani, imefanikiwa kukusanya fedha za kitanzania kiasi cha shilin...