MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja, Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri tunatoa salamu za pongezi za dhati kwako Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2025-2030).
Pia tunatoa Salamu za Pongezi za dhati kwako Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi @nchimbie kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2025-20230).
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.