• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

CRDB WANGING'OMBE YAPONGEZWA MAGEUZI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Tarehe iliyowekwa: October 12th, 2025

Na. Nickson Kombe,


BENKI ya CRDB, Tawi la Wanging'ombe yapongezwa na wateja wake wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe kutokana na mageuzi ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano (TEHAMA) katika utoaji wa huduma zake na kupelekea huduma bora kwa wateja wao.


Akizungumza na menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Meneja biashara wa Kanda ya Nyanda za juu kusini, Bi. Domina Mwita amesema kutokana na mageuzi makubwa ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano (TEHAMA) wanaendelea na sera ya kuhudumia wateja bila kufika ofisini au kwenye matawi ili kumpunguzia mteja gharama na muda.


Hata hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja amewapongeza kwa huduma bora ambazo wameendelea kuzitoa kwa watumishi na wananchi wilayani humo. Haswa ukizingatia kampeni yao ya "Ulipo tupo" imefanikiwa kufikisha huduma za kifedha vijijini na kuhudumia watanzania wote.


Aidha Benki ya CRDB, Tawi la Wanging'ombe imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja 2025 yenye kauli mbiu: "Mission Possible" kwa kudumisha mahusiano mazuri na wateja wake wa halmashauri ambapo wamejumuika kupata kifungua kinywa kizito na menejimenti hiyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA WANGING'OMBE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025.. October 15, 2025
  • Itizame yote

Habari mpya

  • SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026: MWENYEKITI WA HALMASHAURI, WANGING'OMBE.

    January 01, 2026
  • ALAMU ZA MWAKA MPYA 2026: KATIBU TAWALA, WILAYA YA WANGING'OMBE.

    January 01, 2026
  • SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026: MKUU WA WILAYA YA WANGING'OMBE.

    January 01, 2026
  • SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026: MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE.

    December 31, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.