MKUU wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Samson Kapange (Kushoto Pichani) akiendelea kutoa elimu ya uchakataji wa wine za nyanya na matunda asili kama "Misasati" kwa wageni waalikwa Katibu Tawala, Wanging'ombe, Bi. Veronica Gerald (Kulia Pichani) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Joshua Sanga (Katikati Pichani).