MKUU wa wilaya ya Wanging'ombe, Mhe. Zakaria Mwansasu (Kushoto pichani) akiendelea na vipimo vya hali ya Lishe katika banda la maonyesho ya Kilimo, Ufugaji, Upimaji wa Afya na Lishe, Ujasiriamali la wilaya hiyo na kukaribishwa na Mtaalamu wa Afya, Bi. Salome (Kulia Pichani)