MKUU wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Samson Kapange akiendelea kutoa elimu ya kilimo cha viazi mviringo kwa wageni waalikwa Katibu Tawala, Wanging'ombe, Bi. Veronica Gerald (Kulia Pichani) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Joshua Sanga (Katikati Pichani).
Viazi mviringo hivyo almaarufu "Viazi bora Sangita" vinalimwa kwa wingi tarafa ya Imalinyi na Mdandu katika wilaya ya Wanging'ombe. Aina hii ya mbegu inavaa zaidi kwenye mapishi ya chips n.k.