OFISI ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe inawatangazia wananchi wote Zoezi la Uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali yafuatayo;
(1) - Kisukari,
(2) - Shinikizo la Damu,
(3) - Vidonda vya Tumbo,
(4) - Saratani ya Shingo ya Uzazi na Matiti,
(5) - Kinywa na Meno,
(6) - Homa ya Ini,
(7) - Virusi Vya Ukimwi (VVU),
(8) - Hali ya Lishe,
(9) - Hernia (Ngili ya Aina Zote),
(10) - Hormonal Profile,
(11) - PID,
(12) - Hemmorrhoid n.k
VIPIMO UCHUNGUZI NA MATIBABU:
- Tarehe 29 Julai hadi 01 Julai 2025,
- Kuanzia Saa 02:00 Asubuhi - 09:00 Alasiri,
- Hospitali ya Wilaya ya Wanging'ombe,
Kijiji cha Ihanja, Kata ya Mdandu.
Artwork Credits: Nickson Kombe
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.