UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE
Tarehe iliyowekwa: May 20th, 2025
UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE.
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe kwa kushirikiana na Wizara ya Afya inawatangazia wananchi wote ujio wa Madaktari Bingwa wa Magonjwa yafuatayo:
(1) - Magonjwa ya Watoto (Paediatrician),
(2) - Magonjwa ya Wanawake na Ukunga (Gynaecologist),
(3) - Upasuaji wa Mfumo wa Mkojo (Urologist),
(4) - Magonjwa ya Ndani (Physician),
(5) - Usingizi na Ganzi (Anaesthesiologist),
(6) - Daktari Mbobezi wa Kinywa na Meno (Dental & Oral Specialist),