Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe tunakupongeza DKT. PETER MAIGA NYANJA kwa kuendelea kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.
Tunakukaribisha na kukuahidi Ushirikiano wa kutosha katika Utekelezaji wa Majukumu.