Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging`ombe anapendakuwataarifu Waombaji wote wa nafasi za kazi za Katibu Mahsusi Daraja la III(nafasi 2) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19 - 20 Juni,2020. Ili kuona jina lako bofya kiunganishi hiki
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf