Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging`ombe
anapenda kuwataarifu Waombaji wote wa nafasi za kazi za Msaidizi wa
Kumbukumbu Daraja la II (nafasi 3) kuwa usaili unatarajiwa kufanyika
kuanzia tarehe 26 - 27 Machi, 2019 Kuona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili bofyaTANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI[1205].pdf
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.