TANGAZO: Zingatia Usafi wa Mazingira kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Kipindupindu
28 January 2024
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja anawakumbusha wananchi wote kujikinga dhidi ya Kipindupindu kwa kuzingatia Usafi wa Mazingira.