UZINDUZI WA RIPOTI KUU YA UTAFITI WA AFYA YA MZAZI, MTOTO NA VIASHIRIA VYA MALARIA
27 October 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi uzinduzi wa Ripoti kuu ya Utafiti wa Afya ya Mzazi, Mtoto na viashiria vya Malaria.