MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja anautaarifu umma ya kuwa mitihani ya taifa Darasa la Saba 2025 itafanyika tarehe 10 na 11 Septemba 2025 katika Shule zote za msingi zilizopo Halmashauri na taifa kwa ujumla.
Hata hivyo ametumia fursa hiyo kuwatakia kila la kheri wanafunzi wa Darasa la Saba wanaotarajia kufanya mitihani hiyo.