UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE.
Tarehe iliyowekwa: September 18th, 2025
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe kwa kushirikiana na Wizara ya Afya anawatangazia wananchi wote ujio wa Madaktari Bingwa na Bobezi kama ifuatavyo:
(1) - Magonjwa ya Watoto (Paediatrician),
(2) - Magonjwa ya Wanawake na Ukunga (Obstetrician-Gynecologist (OB-GYN)),
(3) - Upasuaji (Surgeon),
(4) - Muuguzi Mbobezi,
(5) - Magonjwa ya Ndani (Physician),
(6) - Usingizi na Ganzi (Anaesthesiologist),
(7) - Daktari Mbobezi wa Kinywa na Meno (Dental & Oral Specialist),