• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAPATO YA NDANI YAAKISI MAENDELEO YA KWELI KWA WANANCHI “KASINGE”

Tarehe iliyowekwa: August 1st, 2019

Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe pamoja na wataalamu wamepongezwa kwa Ujenzi unaoridhisha wa Jengo la Nanenane lililopo katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya kwa kutumia mapato ya Ndani ya Halmashauri, pongezi hizo zimetolewa na Mhe Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Comrade Ally Kassinge leo Jijini Mbeya Wakati alipo ungana na Kamati ya Fedha kukagua Ujenzi wa Jengo la Nanenane ikiwa ni ziara ya Ukaguzi wa miradi kwa robo ya nne. “Mhe Mwenyekiti tangu nifike Wilaya ya Wanging’ombe mapato ya ndani yamekuwa yakiongezea mwaka hadi mwaka hata kupelekea umaliziaji wa jengo hili kuendelea, ni rai yangu kwenu kuhakikisha Kamati yako pamoja na Wataalamu mnatumia mapato ya ndani kutekeleza miradi ya maendeleo vijijini ili Wananchi waone faida ya mapato hayo” alisema Kasinge.

Akitoa neno la shukrani Mhe Mwenyekiti wa Halmashauri  Anthon Mahwata alipongeza jitihada za Wataalamu katika kusimamia shughuli za Ujenzi huo na kusema thamani ya Fedha inaonekana, “Nawataka wataalamu kuendelea kusimamia miradi mingine inayotekelezwa katika Halmashauri yetu vizuri na kwa weredi”alisema Mhe Mahwata.Aidha Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri  Ndg Emmanueli Kilundo alipokea maelekezo na pongezi hizo kwa niaba ya wataaalamu wa Halmashauri na kusema yote walioshauri yatazingatiwa katika utekelezaji.Katika ziara hiyo wajumbe pia waliagiza wataalamu kuandaa Taarifa ya gharama ya Ujenzi wa jengo hilo mpaka kukamiliaka, aidha ilifaafanuliwa kuwa Ujenzi huo mara ya kwanza Halmashauri iliingia Mkataba na Mkandarasi Chelesi lakini baadae baada ya maelekezo ya Serikali kusisitiza kutumia Utaratibu wa kuchangia jitihada za Serikali Halmashauri iliamua kuvunja Mkataba na kuanza kutekeleza yenyewe kwa kutumia mafundi wa kawaida Ujenzi huu unategemewa kugharimu takribani Tsh 85,000,000/=


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.