• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

JAFO APONGEZA VIONGOZI WANGING'OMBE

Tarehe iliyowekwa: June 9th, 2018

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jafo amewapongeza viongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Wanging'ombe kwa utendaji wao mzuri wa kazi.Mh Jafo ametoa pongezi hizo akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo tarehe 09/06/2018 katika kijiji cha Palangawanu alipokuwa anakagua ujenzi wa Kituo cha Afya.

"Mimi huwa napenda kuwa muwazi na kupongeza kwa wale wanaofanya kazi vizuri kiukweli niwapongeze mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji na Timu yako kwa kazi nzuri mnayofanya katika kusimamaia shughuli za Maendeleo, kazi hizi haziwezi kufanyika kama hakuna uongozi madhubuti"alisema Jafo

Akiwa katika ziara yake Wilayani Wanging'ombe Waziri wa Nchi aliwaongoza wananchi wa kata ya Makoga katika harambe ya kuchangia ukarabati wa shule ya Sekondari Makoga ambapo jumla ya kiasi cha Tsh 137,014,000/= ziliweza kuchangwa ikiwa ni ahadi ,vifaa vya ujenzi na fedha taslimu.Katika kiasi hicho cha fedha Waziri alitoa fedha taslimu 3,000,000/= na kuahidi kuleta jumla ya Tsh 78,000,000/= kuunga mkono jitihada hizo na kusema fedha hizo zitatumika kujenga bweni la kisasa .

Aidha Waziri wa nchi katika Harambee hiyo aliambatana na viongozi wengine waWilaya na Halmashauri jirani na Wanging'ombe, wakiwemo,Mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe Eng Lwenge ambapo alichangia Tsh 5,000,000/=  ikiwa ni fedha zake na mfuko wa Jimbo, Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi Msafiri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako Ndg Malala,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg Namaumbo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo ambapo kwa ujumla wao walichangia Tsh 920,000/= na  mifuko 100 ya saruji.

Katika kuchangia harambee hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Bi Amina Kiwanuka  alichangia takribani Tsh 4,000,000/= ikiwa ni Mchango wake na Wakuu wa Idara na Vitengo.

Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Comrade Ally Kasinge ambae pia alikuwa kaimu Mkuu wa Mkoa aliweza kuchangia Harambe hiiyo katika nafasi ya Mkuu wa Mkoa , Mkuu wa Wilaya na yeye kama Comrade Kasinge ambapo Takribani Tsh 3,000,000/= aliweza kuchangia.Akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI  Mkuu wa Wilaya alimshukuru Mgeni rasmi kwa kazi nzuri na ya ufanisi wa Harambee hiyo alimtakia safari njema na majukumu mema .

Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.