Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Wilaya ya Wanging'ombe inapenda kuwaarifu kuwa Vitambuli vya awamu ya kwa Watumishi vipo tayari hivyo mnatakiwa kufika katika Ofisi yao iliyopo jengo la Mbunge kuchukua vitambulisho vyenu.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.