Mkurugenzi Mtendaji anapenda kuwatangazia Watumishi wote na wadau wa maendeleo wa Wilaya ya Wanging'ombe kuwa Tarehe ya mwisho kutoa mchango wa Sherehe ni 25/04/2017 hivyo wale walioahidi watoe michango hiyo kwa Mratibu wa Sherehe aliyepo Makao makuu ya Halmashauri na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya mapema ili kufanikisha Sherehe za Kitaifa zilipo mbele yetu.