Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Anawatakieni Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Waheshimiwa Madiwani ,Wakuu wa Idara/Vitengo watumishi na Wananchi wote wa Wilaya ya Wanging'ombe anawatakieni Afya njema huku akituasa Kuijenga Halmashauri yetu kwa pamoja kwa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake Ipasavyo.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.