Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anapenda kuwatangazia wafanya biashara wote kuwa wanatakiwa kuhakikisha kuwa wankatiwa risiti za Kielectroniki wanapo lipa ushuru.Inasisitizwa kupokea risiti hiyo na sio risiti ya kitabu HW5 ili kupunguza usumbufu wanapo sfirisha mizigo yao.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.