JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS – TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE
S. L. P. 64,
NJOMBE.
06 Aprili, 2018.
TANGAZO
OFISI YA UTUMISHI NA UTAWALA IMEWEKA UTARATIBU MAALUM WA KUHAKIKI NA KUJAZA FOMU ZA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE.
HIVYO BASI, KWA RATIBA ILIYOWEKWA HAPO CHINI WATUMISHI WOTE WA IDARA ZA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI MNATAARIFIWA KUWA KUANZIA TAREHE 10 APRILI, 2018 HADI TAREHE APRILI, 2018 KUTAFANYIKA ZOEZI HILO KATIKA OFISI YA UTUMISHI KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI KWA KILA SIKU ZA RATIBA.
SN |
SIKU |
WATUMISHI WA TARAFA |
1 |
TAR 10 - TAR 13 APRILI, 2018 |
MDANDU
|
2 |
TAR 16 - TAR 20 APRILI, 2018 |
WANGING'OMBE
|
3 |
TAR 23 - TAR 27 APRILI, 2018 |
IMALINYI
|
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.