Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Bi Amina Kiwanuka,anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Wanging'ombe kuwa kutafanyika Mkutano wa Baraza la Madiwani kuanzia Tarehe 24/04/2018 hadi tarehe 25/04/2018, katika Ukumbi wa Halmashauri,hivyo anawakaribisha wote kwa kuwa ni baraza la wazi kuja kuona namna Serikali ya awamu ya Tano inavyotekeleza Miradi kupitia Wawakilishi wenu (Waheshimiwa Madiwani)
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.