MITIHANI YA TAIFA DARASA LA NNE, 2023 (WANGING'OMBE)
25 October 2023
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, Bi. Maryam Muhaji anawatakia kheri ya mtihani wa taifa wanafunzi wa Darasa la 4 wanaotarajia kufanya mtihani Jumatano, tarehe 25 Oktoba 2023 na kuhitimisha Alhamisi, tarehe 26 Oktoba 2023.