Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anawatangazia wafanyabiashara wote Katika Wilaya ya Wanging'ombe kuwa wanatakiwa kulipia ada lesseni za biashara zao, Aidha anawataarifu wale wote ambao hawana lesseni za biashara ya aina yeyote waweze kukata lesseni hizo mara moja vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakae kaidi agizo hilo kwa maaelezo zaidi wasiliana na Afisa Biashara kwa namba ya simu 0759980987 au Mweka Hazina 0758319441.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.