Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika kutekeleza ilani ya Uchaguzi hususani sekta ya Afya imeamua kujenga Hospitali 67 za Wilaya.Halmashauri yaWilaya ya Wanging’ombe ni miongoni.Katika utekelezaji wa mradi huo Serikali imetoa Tsh 1,500,000,000/= na kuelekeza kuanza ujenzi wa Majengo saba ambayo Jengo la Utawala,Jengo la Wagonjwa wa nje,Jengo la Kuhifadhia dawa,Jengo la Maabara,Jengo la Mionzi,Jengo la Mama na Mtoto na Jengo la Kufulia.Maendeleo ya ujenzi huu upo katika hatua mbalimbali kwa kila jengo kama inavyoonekana hapa chini katika picha ilivyokuwa tarehe 17/05/2019.

Jengo la Kufulia

Jengo la Maabara

Jengo la Wagonjwa wa nje

Jengo la Mionzi

Jengo la Mama na Mtoto

Jengo la Kuhifadhia Dawa

Jengo la Utawala
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.