• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Ziara ya Mkuu wa Mkoa

Tarehe iliyowekwa: February 8th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Wangingombe akiwa ziarani amekagua ujenzi wa madarasa,mabweni vyoo vinavyojengwa katika shule za Sekondari ikiwemo Shule ya Sekondari Mount Kipengere, Wanging'ombe,na Wanike Mkuu wa Mkoa amepongeza kwa kazi nzuri zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa amesisitiza kutumia fedha za Serikali vizuri ili thamani ya fedha ioneekane katika miradi hiyo,pia alishauri kasoro mbalimbali alizoziona zirekebishwe mapema.Mkuu wa Mkoa alipata fursa ya kutembelea eneo ambapo itajengwa Hospitali ya Wilaya lililopo katika kijiji cha Ihanja amesisitiza kuwa eneo hilo ni zuri na mtu yeyote asiingilie eneo hilo,akiwa Wilaya ni huku alitembelea Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Palangawanu Mkuu wa Mkoa baada ya kupata fursa ya kutembelea mradi huo aliongea na wananchi na kutoa Maelekezo ya Serikali ambapo alimuagiza Mkurugenzi Mtendaji kusimamisha Shughuli za ujenzi zinazoendelea na kusema fedha zinazotumika katika ujenzi huo hazikulengwa kufanya kazi katika zahanati ya Palangawanu badala yake zilitakiwa kuboresha na kujenga majengo katika kituo cha Afya Wanging'ombe aliagiza fedha zote zilizobaki Tsh 300,000,000/= ziende Kituo cha afya Wanging'ombe na shughuli za ujenzi zianze mara moja huku akiahidi kuwachukulia hatua viongozi wate waliohusika na udanganyifu huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • SASA UNAWEZA KUPATA ZABUNI ZA UMMA KWENYE NGAZI ZA MSINGI (SERIKALI ZA MITAA) KAMA VILE SHULE, ZAHANATI NK. KUPITIA MFUMO WA NeST.

    January 01, 2025
  • WAKULIMA WAASWA KUACHA KUCHOMA MOTO MASHAMBA – WANGING’OMBE

    November 15, 2024
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.