• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA MBUNGE, MWAKILISHI WAFANYAKAZI TANZANIA, WANGING’OMBE

Tarehe iliyowekwa: November 17th, 2023

Na. Mwandishi Wetu,

Nickson Kombe,



MBUNGE Viti maalumu anayewakilisha Wafanyakazi Tanzania, Mhe. Dkt. Alice Kaijage ametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe ambapo ameongea na watumishi kuhusu namna bora ya kushughulikia changamoto zao.

Akiongea na Watumishi baadhi waliohudhuria kikao hiko, Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Mhe. Dkt. Alice amewapongeza kwa kazi kubwa wanazofanya bila kujali changamoto wanazo kabiliana nazo katika utendaji kazi.



Mara baada ya kuwasikiliza watumishi hao, kwa utaratibu wa kuchangia na uandishi, maoni, ushauri, pongezi na changamoto mbalimbali wanazopitia kazini, Mhe. Dkt. Alice ameomba kupata ufafanuzi wa baadhi ya changamoto kutoka kwa viongozi waliokuwepo ambapo amesema baadhi ataziwasilisha serikalini ili kufanyiwa marekebisho na kutolewa maamuzi. Hivyo watumishi wa umma waendelee kufanya kazi katika mazingira rafiki.

Aidha bajeti zote kuanzia ya Mwaka wa fedha 2021/22 hadi hivi sasa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya jitihada za dhati ambapo imeweza kupandisha madaraja /vyeo takribani watumishi 455,497 ikiwa imegharimu zaidi ya Shillingi Trillioni 1.1. Malipo ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi wapatao 130,166. Aidha ajira mpya kwa watanzania 129,084 na utekelezaji wa mpango wa ajira 47,000, ajira za TAMISEMI zaidi ya nafasi 21,000 katika Mwaka huu wa fedha 2023/24.

Katika Ziara hiyo Mkoa wa Njombe, Mhe. Dkt. Alice ameambatana na Mwakilishi Ofisi ya RAS Njombe, Mratibu wa TUCTA na Wawakilishi wa Vyama vya wafanyakazi vya CWT, TALGHU, TUGHE na TIPAU.

“Nasema haya ikiwa sisi sote ni shuhuda ya kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imekuwa Sikivu na imeonyesha nia njema ya kuboresha maslahi na haki mbalimbali za watumishi wa umma”. Mhe. Dkt. Alice ametoa rai kuendelea kumuunga mkono  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya kazi kwa bidii na uadilifu.





Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.