• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZAIDI YA MILIONI MIANNE ZA TENGWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU WILAYANI WANGING’OMBE MKOANI NJOMBE

Tarehe iliyowekwa: April 9th, 2021

 *Na Maiko Luoga Wanging'ombe*

Mbunge wa Jimbo la Wanging’ombe Mkoani Njombe na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt, Festo Dugange amesema Serikali inaendelea kuboresha miundombinu mbalimbali Wilayani humo ikiwemo sekta za Elimu, Afya, Maji, Umeme, Barabara na maeneo mengine ili kutatua changanoto zinazoikabili Jamii.

Amesema hayo April 09/2021 wakati akizungumza na Wananchi wa Vijiji vya Wanging’ombe na Katenge Kata ya Wanging’ombe mara baada ya kuwasili akitokea Bungeni Jijini Dodoma ili kusikiliza kero zao na kuwapa mrejesho wa changamoto walizompa awali.

Akizungumza na Wananchi hao Dkt, Dugange amesema Serikali inatambua changamoto za Wananchi wa Wilaya ya Wanging’ombe zilizopo kwenye sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu ya Barabara, Maji, Afya na Umeme hivyo jitihada za kuzitatua zinaendelea.

Amesema tayari Serikali imetoa fedha za Kitanzania kiasi cha Tsh, milioni mianne na hamsini ili kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo ujenzi wa Vyumba vya Madarasa na Vyoo vya Wanafunzi katika Shule za Msingi na Sekondari Wilayani Wangingombe.

“Shule ya Msingi Kijiji cha Wanging’ombe tumepata milioni arobaini na sita na laki sita, na Shule ya Sekondari tumepata milioni arobaini na sita na laki sita fedha hizi zitaingia wakati wowote kuanzia sasa kwaajili ya ujenzi wa Madarasa angalau mawili na Vyoo vya Wanafunzi”Dkt, Festo Dugange.

Aidha amewaeleza Wananchi wa Kijiji cha Katenge kuwa Serikali imetoa Fedha za Kitanzania kiasi cha Tsh, milioni arobaini na sita na laki sita kwaajili ya Ujenzi wa vyumba viwili vya Madarasa na vyoo katika Shule ya Msingi Katenge ili kuunga mkono juhudi za Wananchi.

Hatahivyo ametoa wito kwa Uongozi wa Halmashauri wa Wilaya ya Wanging’ombe kukamilisha mapema jengo la Zahanati ya Kijiji cha Katenge ambalo limekaa zaidi ya miaka kumi kwenye hatua ya boma na mwezi februari 2021 Serikali ilitoa fedha kiasi cha Tsh, milioni hamsini kwaajili ya ukamilishaji wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.