WATUMISHI WA AFYA NA ELIMU WAMEHUDHURIA SEMINA YA MFUMO WA NeST,WANGING'OMBE
Tarehe iliyowekwa: December 6th, 2023
Na. Mwandishi Wetu,
Rukia Omary,
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wanging'ombe Bi. Maryam Muhaji amejumuika na Wataalamu wa Mfumo wa Manunuzi (PPRA) kupata Elimu ya Mfumo wa Manunuzi ya Serikali kwa njia ya Mtandao( NeST).
SEMINA hii imejumuisha watumishi WA umma wa Afya na Elimu kutoka kata mbalimbali Wilaya ya Wanging'ombe.
Mfumo huu unarahisisha zaidi kufanya Manunuzi kwa njia ya Mtandao na kukupa mchanganuo wa mahitaji yote unayohitaji na kwagharama nafuu hivyo watumishi ni vyema kupata Elimu hii ili mnufaike zaidi, kupitia mfumo huu mnaweza kufanya oda za madawa ,vitabu au vifaa vyovyote mnavyohitaji ameyasema hayo Mkurugenzi Mtendaji Bi. Maryam Muhaji katika semina hiyo.