• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Timu ya Veterani Halmashauri yawapagaisha mashabiki wake

Tarehe iliyowekwa: April 26th, 2018

TIMU ya veterani halmashauri ya wilaya ya wanging’ombe yaifunga timu ya veterani Ilembula kwa mikwagu ya pernati 3 kwa 1 katika uwanja wa

shule ya msingi Igelehedza mjini Ilembuka kwenye bonanza la michezo .

Bonanza hilo lilichezeshwa kwa dakika 60 ambapo veterani ya halmashauri ilipata goli la kwanza mnamo dakika 28 lililotiwa nyavuni

na Moris Mpemba  ambapo goli hilo lilidumu mpaka mapumziko.

Hata hivyo kupindi cha pili kilianza kwa timu zote mbili kukamiana huku mnamo  dakika ya 50 timu ya veteran ilembula walipata goli la

kusawazisha  likifungwa na James  Swichage.

Baada ya mchezo huo kumalizika waliongezewa dakika 10 za nyongeza ambapo si veterani halmashauri wala veterani Ilembula hakuna aliyeona

lango la mwenzie na hivyo kutoka sare ya 1-1 na kulazimika kupigiana penati.

Katika penati hizo veteran halmashauri walibuka kidedea kwa kupata  penati 3 huku veteran ilembula walipata moja.

Akikabithi zawadi  ya mbuzi kwa mshindi wa kwanza mgeni rasmi katika bonanza hilo mkuu wa wilaya ya wanging’ombe Ally Kassinge alisema

amegundua kuwa anajukumu kubwa la kuanzisha ligi katika wilaya yake na hivyo kuaidi kuanzisha ligi kwa kila tarafa ili kukuza vipaji.

‘’nimegundua kuwa sasa ninajukumu kubwa lililopo mbele yangu la kuanzisha ligi ambapo ligi hizi zitafanyika katika kila tarafa katika wilaya yangu ili kufanya michezo kuwa utamaduni wetu’’alisema Kassinge.

Kwa upande Musa Johh aliwaomba wadau kujitokeza ili kuweza kudhamini mashindano mbalimbali katika wilaya hiyo ili kuibua vipaji ambavyo vimejificha.

katika Bonanza hilo la michezo mshindi wa kwanza alikabidhiwa mbuzi huku mshindi wa pili alipata mpira mmoja.


.

Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.