HALMASHAURI ya wilaya ya Wanging'ombe inawatakia wakulima wote nchini heri ya siku ya Parachichi duniani. Pia inawatakia msimu wenye mafanikio zaidi katika kilimo cha zao la Parachichi wakulima wote nchini. Maadhimisho haya hufanyika kila ifikapo Julai 31.