Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa nchini kufanya ukaguzi wa zoezi la huakiki wa vyeti katika halmashauri zao ili kujiridisa na ukweli wa sifa a watumisi waliojiriwa kama darasa la saba na walio ajiriwa kwa sifa ya cheti cha ufaulu wa kidato ca nne kama wamewasilisa yeti vyao na kuakikiwa.
Dkt. Ndumbaro ametoa maelekeo hayo wakati wa ziara yake ya kikazi katika Sekretarieti ya mkoa wa Njombe na halmashauri ya Wanging’ombe na Makambako aliyoifanya kwa lengo maususi la kusikiliza changamoto zinaowakabili watumisi na kuzitatua ili kuwezesa ufanisi katika utendaji kazi.
Dkt. Ndumbaro amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa nchini kuhakikisha watumisi ambao hawajawasilisha vyeti yao vya ufaulu wa kidato cha nne kwa ajili ya kuhakikiwa waondolewe na wale ambao wamedanganya kuwa ni darasa la saba ili kukwepa zoezi la uhakiki wa yveti kuondolewa katika Utumisi wa Umma.
Dkt. Ndumbaro amesema, baada ya wiki moja Serikali itatoa Waraka wa kuzitaka Mamlaka a Sekretarieti a Mikoa kwenda kufanya ukaguzi katika halmashauri zao ili kujirizisha na namna zoezi la uhakiki liliyofanyika.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.