Mh Mkuu wa Wilaya ya Wangingombe ameongoza wananchi wa kijiji cha Igwachanya kupanda miti ikiwa ni kutekeleza agizo la Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kutekeleza agizo hilo jumla ya takribani miti 240 imepandwa maeneo mbalimbali ya Igwachanya,Mkuu wa Wilaya amewaagiza wananchi kudumisha usafi ambapo ameagiza kila kaya na maeneo ya biashara kuwa na kifaa cha kutunzia takataka na ikibainika hawana watotozwa faini
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.