• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka afanya ziara Wilaya ya Wanging'ombe

Tarehe iliyowekwa: August 17th, 2017


Mkuu wa mkoa wa Njombe amefanya ziara katika Wilaya ya Wanging'ombe ili kukagua,kuweka jiwe la msingi na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Wilaya hapa,akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha afya cha Kata ya Igwachanya kinachojengwa katika Kijiji cha Palangawanu Mkuu wa Mkoa Ndg Christopher Ole Sendeka amewapongeza wananchi wa kata ya Igwachanya kwa kuanza ujenzi wa Kituo hicho cha Afya  ambapo ujenzi huo upo katika hatua ya Renta ikiwa ni nguvu za Wananchi toka msingi hadi hatua iliyopo, ambapo takribani jumla Tsh 31,000,000/= Katika kuunga Mkono jitihada za Wanachi hao Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ameahidi kuchangia  Tsh 1,000,000/=.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Njombe alitumia fursa hiyo kuwataka wananchi wa Wilaya zote za Mkoa wa Njombe kuchangia Maendeleo na si kusubiri Serikali kuwaletea maendeleo amesema ni vema Wananchi wakaanzaisha miradi mbalimbali ikiwemo zahanati madarasa nyumba za walimu na vituo vya Afya baada ya hapo Serikali itaongeza nguvu katika kumalizia miradi hiyo.Akifungua madarasa mawili katika Shule ya sekondari Thomasi Nyimbo Mkuu wa Mkoa alipongeza ujenzi wa madarasa hayo na kusema ameridhishwa na ujenzi huo kwani thamani ya fedha inaoneka pamoja na ujenzi wa madarasa hayo shule bado ina changamoto nyingi zinazoikabili ikiwa ni pamoja na upungufu wa nyumba za walimu, Mkuu wa MKoa akihitimisha ziara yake katika kijiji cha Igelango kilichopo kata ya Uhambule aliasa wale wote watakao diriki kuwaharibia mipango ya masomo wanafunzi wa kike kuwa hatakuwa na msamaha na mtu wa namna hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.