MITIHANI YA TAIFA KIDATO CHA NNE 2023 - WANGING'OMBE
Tarehe iliyowekwa: November 12th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe wanawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne 2023 wanaotarajia kuanza mitihani ya kitaifa kuanzia tarehe 13 Novemba 2023 hadi 30 Novemba 2023.