AFISA Mifugo, Wanging'ombe, Bi. Birgitha Kabanda akielezea umuhimu wa ufugaji wa Ng'ombe wa kisasa (Holstein Friesian) ambao wana matokeo mazuri zaidi, karibuni sana.
Pamoja na timu husika ya wataalamu wapo tayari kuhakikisha unapata uelewa wa kutosha na huduma nyinginezo husika, karibuni nyote BANDA letu linapatikana Geti la Mashariki barabara ya kutokea Uwanjani, Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.