KATIBU Tawala, Wanging'ombe, Bi. Veronica Gerald (Katikati Pichani) akiambatana na Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Samson Kapange (Kushoto Pichani) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Wanging'ombe, Bw. Joshua Sanga (Kulia Pichani) baada ya kukagua bustani za mbogamboga na matunda.