WATAALAMU wa Masuala ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Michael Hombeli (Kulia Pichani) akifafanua zaidi utofauti wa aina za Soya kitaalamu kwa Afisa Mifugo, Bi. Bilgitha Kabanda (Kushoto Pichani). Ikiwa ni mafanikio ya mradi wa shamba darasa unaosimamiwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali "Care International" mkoani Njombe.