MWANAKIKUNDI wa Upendo A, Igomba kata ya Saja wilayani Wanging'ombe, Bw. Jabir (Kulia Pichani) akitolea ufafanuzi wa bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la Soya kama vile Mawiza ya Soya, Mafuta ya Soya, Unga wa Lishe wa Soya n.k na faida zake. Ikiwa ni mafanikio ya mradi wa shamba darasa unaosimamiwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali "Care International".