KIKOSI kazi cha wataalamu mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe baadhi kutokea Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Idara ya Afya - Kitengo cha Lishe na Upimaji wa Afya, Wajasiriliamali, Wakulima na Chama cha Kilimo na Masoko, AMCOS - Ng'anda.
Timu husika hapo juu iko tayari kuhakikisha unapata uelewa wa kutosha na huduma nyinginezo husika, karibuni nyote.